Wednesday, June 28, 2017

WANAUME WALIOCHELEWA KUPATA WATOTO HUPATA WATOTO WENYE AKILI SANA


Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Seaver Autism Center ya Marekani umeonesha kuwa Wanaume waliochelewa kupata watoto huwa na uwezo wa kuzaa watoto wapole, wenye akili na uwezo wa kung’amua mambo kwa haraka kuliko waliowahi kupata watoto wakiwa katika umri wa kati.
Katika utafiti uliohusisha zaidi ya watoto 7,781 ambao zaidi ya 57% kati yao walizaliwa na baba wenye umri wa miaka 50 na kuendelea wameoneka kuwa na akili kubwa za darasani kuliko watoto waliozaliwa na baba wenye umri wa miaka 25.
Akiliezea namna inavyotokea Dr. Dolores Malaspina alisema wanaume wenye umri mkubwa hupitia kitendo kinachoitwa ‘sperm mutations’ ambapo mbegu za kiume za mwanaume mzee hubadilika hivyo mimba zinapotungwa baada ya kitendo hiki kutokea huchangia kuzaliwa kwa watoto wenye akili
Genious
Genious

This is a short biography of the post author. Maecenas nec odio et ante tincidunt tempus donec vitae sapien ut libero venenatis faucibus nullam quis ante maecenas nec odio et ante tincidunt tempus donec.

No comments:

Post a Comment